tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post152592458603731583..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Nimekikuta Kitabu Changu Kinameremeta DukaniMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-54547922089180125702015-09-02T22:05:36.128-07:002015-09-02T22:05:36.128-07:00Ndugu Alex,
Shukrani kwa ujumbe wako. Nakumbuka t...Ndugu Alex,

Shukrani kwa ujumbe wako. Nakumbuka tulivyokutana Sinza, ulipokifuata hicho kitabu. Nakumbuka simulizi yako katika blogu ya BongoCelebrity.

Nimekuwa na bahati ya kuwa na wasomaji wengi wa aina yako, ambao kweli mnasoma maandishi yangu, nami natambua wajibu wa kuwarudishia heshima kwa kujitahidi kuandika kwa ubora zaidi.

Hapa nilipo, nakaribia kumaliza uandishi wa kitabu cha kuendeleza yaliyomo katika hicho kitabu unachosoma. Insha Allah, nitamaliza uandishi na kuchapisha mwaka huu. Sitawaangusha nyinyi wasomaji wangu. Mtakipenda. Tuombe tu uzima.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-60670429140947920212015-09-02T20:04:46.711-07:002015-09-02T20:04:46.711-07:00Hongera sana Prof. Mbele, huwa nasoma na kurudia k...Hongera sana Prof. Mbele, huwa nasoma na kurudia kitabu chako, "Africans and Americans Embracing Cultural Differences" najiona kama nipo marekani.Alexhttps://www.blogger.com/profile/08828829315008950722noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-31396572613156783072015-08-29T21:08:33.217-07:002015-08-29T21:08:33.217-07:00Ndugu Mhango\
Shukrani kwa ujumbe. Ninategemea ku...Ndugu Mhango\

Shukrani kwa ujumbe. Ninategemea kuwa haya tunayofanya katika uandishi yanachangia kuwapa moyo vijana na waandishi chipukizi, kwamba kwa jitihada ya dhati isiyo na kikomo, chochote kinawezekana. Hilo moja. La pili ambalo ningependa vijana na waandishi chipukizi walizingatie ni kuwa mafanikio si sababu ya kupunguza juhudi, bali ni kichocheo cha kufanya makubwa zaidi. Mafanikio ya kweli katika uandishi ni kujieleza vizuri iwezekanavyo na kuwagusa wasomaji vilivyo.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-35500779311411848962015-08-28T11:12:08.562-07:002015-08-28T11:12:08.562-07:00Hakuna furaha kama hii kwa mwandishi kukuta kazi y...Hakuna furaha kama hii kwa mwandishi kukuta kazi yake kwenye sehemu ambapo umma unaweza kuiona tena ikiwa kwenye hali nzuri kama ulivyokuta kitabu chako. Najua unavyojihisi na kiasi cha furaha uliyo nayo. Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com