tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post1546412572693954209..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Natamani Kuwatukana Akina "Anonymous"Mbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-18678709830227668512015-03-10T11:10:55.559-07:002015-03-10T11:10:55.559-07:00Ndugu anonymous, nimeguswa kwa namna ulivyolileta ...Ndugu anonymous, nimeguswa kwa namna ulivyolileta suala/suali lako. Kwa heshima yako, nimeamua kuliweka kama mada mpya katika blogu hii. Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-74627436493981589332015-03-10T06:12:25.065-07:002015-03-10T06:12:25.065-07:00samahani kama nitakuwa nje ya mada, naomba msome h...samahani kama nitakuwa nje ya mada, naomba msome hii habari, halafu tutafakari kama ufisadi utakaa uishe nchii hii.
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Daktari-bingwa-KCMC-/-/1597296/2647704/-/1h4mghz/-/index.htmlAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-55640056183114243972015-03-09T14:12:04.750-07:002015-03-09T14:12:04.750-07:00
PBF Rungwe Pilot Project,
Shukrani sana kwa mcha...
PBF Rungwe Pilot Project,

Shukrani sana kwa mchango wako. Wazo lako la kuwa na utaratibu wa kuyapitia maoni na kuyahakiki naona ni wazo zuri.

Kuwaacha wakorofi wajiandikie wanavyotaka, kama ambavyo nimewaruhusu hadi sasa, ni suala ambalo nadhani ingekuwa bora nikaliangalia upya, kwani blogu ikiruhusu kero na ukorofi inakuwa imegeuzwa kuwa jalala la taka taka.

Labda niseme tu kuwa, yeyote, hata mkorofi, afanye juhudi ya dhati kujenga hoja. Kama ukorofi wake ni wa kuelimisha au kuendeleza mjadala kwa maana kwamba amejenga hoja, nitaendelea kuruhusu.

Lakini kama ni kuropoka matusi au maneno ya kukera yasiyo na msingi au umbo la hoja, itabidi nichukue uamuzi wa kuyaondoa, ili kulinda heshima ya blogu na heshima ya wasomaji.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-58057068056210576032015-03-09T01:15:39.175-07:002015-03-09T01:15:39.175-07:00Naungana nawe Profesa kuwathibiti watu wasiotaka k...Naungana nawe Profesa kuwathibiti watu wasiotaka kujitambulisha na hapohapo wanatataka kutoa maoni yenye kuudhi. Kwa namna nyingine, yafaa kuweka utaratibu wa namna ya kuyapitia maoni hayo na kuyahakiki iwapo unakubaliana nayo au. Japo kwa jinsi hii unaweza kupunguza kasi ya mawazo kwenye blogu yako.PBF Rungwe Pilot Projecthttps://www.blogger.com/profile/15449143272223008426noreply@blogger.com