tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post183881616272951922..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Sehemu za Kupumzikia, Mbamba BayMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-1717426538632312762011-10-22T06:48:24.362-07:002011-10-22T06:48:24.362-07:00Ajabu ni kuwa kila ninapokuwa maeneo haya ya Ziwa ...Ajabu ni kuwa kila ninapokuwa maeneo haya ya Ziwa Nyasa, huwa nasahau kuwa kuna mamba. Labda ni kutokana na raha ya kuliangalia Ziwa na mawimbi yake mazuri na upepo mwanana. Ilikuwa hivyo hivyo nilipokuwa Matema Beach.<br /><br />Kuhusu hao jamaa kwenye picha, ni kwamba walihama meza yao wakasogea hapa kwangu ili kupiga picha. Ninayo picha nyingine ambamo wako kwenye meza yao na ulabu wao.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-27866296046730378932011-10-22T03:16:30.395-07:002011-10-22T03:16:30.395-07:00Ni kweli ni sehemu nzuri mimi sikupata fursa mwaka...Ni kweli ni sehemu nzuri mimi sikupata fursa mwaka huu kufika huko ila mwaka mwingine ni lazima teana mpaka Lundo nilikozaliwa ntafika. Swali la kizushi niliwahi kusikia kuwa kuna mamba huko ziwani na kama umechoka maisha basi ogelea.<br />Sasa hapo kwenye hiyo picha ya mwisho mbona wengine hawana kinywaji?...LOLYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com