tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post2833631397146704754..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Kuchapisha Vitabu MtandaoniMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-49249050890809795072018-10-10T09:19:05.546-07:002018-10-10T09:19:05.546-07:00Shukran professa, ntakucheki kwa e-mailShukran professa, ntakucheki kwa e-mailAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/10394510284989832013noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-34564826232631237142018-07-17T11:51:00.351-07:002018-07-17T11:51:00.351-07:00Asante sana Prof kwa kutufumbua macho juu ya uchap...Asante sana Prof kwa kutufumbua macho juu ya uchapishaji wa vitabu mtandaoni.onesmo mkepulenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-73318555280857720232017-08-10T20:20:18.467-07:002017-08-10T20:20:18.467-07:00Ndugu John Chacha
Shukrani kwa kutembelea hapa kw...Ndugu John Chacha

Shukrani kwa kutembelea hapa kwetu na kuandika ujumbe. Hongera kwa kuandika kitabu. Ushauri wangu ni kuwa andika ujiridhishe kwamba umeandika kwa ustadi kabisa, kadiri ya uwezo wako. Hiki kiwe kipaumbele na kigezo cha msingi. Kuhusu wa-Tanzania, usiwategemee sana, kwani utamaduni wa kununua na kusoma vitabu, au hata kusoma vitabu vya bure vilivyoko maktabani, ni tatizo. Maktabani utawakuta zaidi wanafunzi, ambao wanawania kufaulu mitihani.

Usiwawazie sana wa-Tanzania. Kitabu bora husomwa popote duniani, kiwe ni cha taaluma au fasihi. Taaluma haitambui mipaka ya nchi, na fasihi bora ni hivyo hivyo.

Kuhusu mawasiliano nami, unaweza kutumia africonexion@gmail.comMbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-24306281203596764572017-08-08T15:04:01.461-07:002017-08-08T15:04:01.461-07:00Nimevutiwa na maelezo yako ili naomba mawasiliano ...Nimevutiwa na maelezo yako ili naomba mawasiliano yako tuwasiliane kwa kuwa hivi karibuni natarajia kutoa kitabu ambacho naamini kitawavutia watanzania wengi kutokana na mpangilio na mambo niliyoandika.John Chachahttps://www.blogger.com/profile/06461165715723388693noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-58997170759500804982017-04-01T12:39:21.953-07:002017-04-01T12:39:21.953-07:00Ni wazo zuri, Jacob Maganga Media. Kila la heri.Ni wazo zuri, Jacob Maganga Media. Kila la heri.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-43825521591358600152017-04-01T10:00:30.181-07:002017-04-01T10:00:30.181-07:00Nakaribia kufungua website yangu ya kuuza vitabu m...Nakaribia kufungua website yangu ya kuuza vitabu mtandaoni, itajulikana kwa jina la www.makavazi.com nawakaribisha muuze vitabu vyenu mtandaoni pia tunatoa huduma ya uhariri wa vitabu kwa waandishiAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/18238766501305561785noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-81012549931453475352016-09-04T18:02:41.051-07:002016-09-04T18:02:41.051-07:00Ndugu manotajunior
Kwanza, hongera kwa kujibidish...Ndugu manotajunior

Kwanza, hongera kwa kujibidisha katika uandishi. Unaweza kuniandikia kwa kutumia anwani hii africonexion@gmail.com. Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-36104113866413353302016-09-04T03:14:25.351-07:002016-09-04T03:14:25.351-07:00Asante sana profesa kwa maelezo mazuri, mimi pia n...Asante sana profesa kwa maelezo mazuri, mimi pia ni mmoja wa waandishi lakini bado sijapata fursa ya kutoka itakuwa vizuri kama utanicheki kwenye email yangu manotajunior@gmail.com nipate mwongozo wako zaidi nina vitabu viwili mpaka sasa ila bado sijafanikiwa kuvipublish hivyo profesa naomba tuwasiliane kweny hyo email yangu kwa mwongozo zaidi.manotajuniorhttps://www.blogger.com/profile/07530189221870309233noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-79173569839980906932015-12-23T23:14:09.149-08:002015-12-23T23:14:09.149-08:00Ndugu Mlengela
Shukrani kwa ujumbe wako. Nimefura...Ndugu Mlengela

Shukrani kwa ujumbe wako. Nimefurahi umetembelea hapa kwangu. Miaka mingi imepita tangu tuonane pale Diamond Jubilee, Dar es Salaam, kwenye tamasha la Tripod Media. Nakutakia kila la heri.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-15018348979127541802015-12-23T22:34:26.268-08:002015-12-23T22:34:26.268-08:00Aksante Prof. kwa taarifa nzuri sana ya kuchapisha...Aksante Prof. kwa taarifa nzuri sana ya kuchapisha vitabu mtandaoni. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08289611695633441081noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-77221989063728335152015-12-19T23:41:46.531-08:002015-12-19T23:41:46.531-08:00Ndugu Theo, shukrani kwa ujumbe wako. Sijafuatilia...Ndugu Theo, shukrani kwa ujumbe wako. Sijafuatilia kwa karibu maendeleo ya huduma za mabenki nchini Tanzania, kwa hivi nashukuru kwa taarifa yako. Ingawa nimeongelea gharama ya vitabu, lakini katika mkabala mpana zaidi hoja yangu ya miaka mingi imekuwa kwamba bei ya vitabu si tatizo ukizingatia kuwa wa-Tanzania kwa ujumla wanatumia hela nyingi zaidi katika mambo kama sherehe na bia.

Hata hivi, ninaamini kuwa zikifanyika juhudi endelevu za kuelimisha umma, tutafikia wakati ambapo watu watatambua umuhimu wa kuwekeza katika vitabu. Itawezekana kuwafanya watu waelewe kuwa kadiri siku zinavyopita, dunia inazidi kwenda kwa msingi wa "knowledge economy." Kwa ufahamu huu, watu wataona ulazima wa kuwekeza katika vitabu na nyenzo zingine za elimu na maarifa.
Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-2431316472622150912015-12-19T23:11:17.878-08:002015-12-19T23:11:17.878-08:00Nashukuru Profesa kwa maelezo hayo yakinifu kuhusu...Nashukuru Profesa kwa maelezo hayo yakinifu kuhusu kuchapisha vitabu kwa njia ya mtandao.Aidha, changamoto hiyo ya bei naona pengine yawezekana kuwa kuzuizi kikubwa cha watu kuweza kununua vitabu vilivyochspishwa kwa njia hiyo. Kwa upande wa visa, master cards angalau kwa shehemu kubwa imewezeshwa na mabenki Mengi ya hapa Tanzania.Theohttps://www.blogger.com/profile/03683772988584491542noreply@blogger.com