tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post3111064967034836236..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Maazimio ya Mwaka Mpya, 2015Mbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-51697871538908104322015-01-14T19:14:47.472-08:002015-01-14T19:14:47.472-08:00Ndugu Mfuko,
Shukrani kwa kupita tena hapa kwenye...Ndugu Mfuko,

Shukrani kwa kupita tena hapa kwenye blogu yangu na kuweka ujumbe. Nakukumbuka vizuri, tangu tulipowasiliana hivi majuzi kuhusu kitabu.

Napenda tu kusema jitahidi kutafuta vitabu hivi na kuvisoma. Mimi vinaniletea faraja na furaha kubwa maishani, wala sihitaji hata kwenda baa kupata mbili tatu za baridi kama zamani. Vitabu vinanitosha, na papo hapo vinatajirisha akili yangu.

Kila la heri.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-82988486981477568822015-01-14T18:26:06.856-08:002015-01-14T18:26:06.856-08:00Maazimio yako ni elimu tosha mzee Mbele .Maazimio yako ni elimu tosha mzee Mbele .Mfukonoreply@blogger.com