tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post3951199812935094630..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Global Minnesota Wameniletea Kifuta JashoMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-36047959153355167112017-08-10T16:10:10.916-07:002017-08-10T16:10:10.916-07:00Ndugu Emmanuel Kachele
Shukrani kwa kutembelea ha...Ndugu Emmanuel Kachele

Shukrani kwa kutembelea hapa kwetu na kuandika ujumbe. Tunakubaliana kwa hiyo falsafa. Huwa ninawashangaa watu ambao dhana yao ya malipo ni pesa tu. Kumbe, mtu unaweza kujibadili fikra ukawa na dhana tofauti na pana zaidi.

Kwa upande wangu, ninapofanikiwa kuwaelimisha watu wakaridhika au kuwafurahi, nami ninafurahi. Ninafurahi kuwa nina uwezo na kipaji cha aina hiyo. Furaha yao ni furaha yangu. Furaha ina manufaa katika akili na afya yangu. Ni malipo tayari. Kama ni pesa, zinakuja bila mimi kuzikimbiza. Mfano ni hiki kifuta jasho kutoka Global Minnesota.

Halafu, kama unavyosema, Mungu mwenyewe anaangalia matendo yetu. Analipa mema na mabaya tufanyayo, na hapotezi kumbukumbu, wala hadanganyiki. Sisi wa-Kristu tunafundishwa kuwa kadiri tunavyotoa, ndivyo tunavyopewa.

Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-81586747805091508342017-08-10T12:08:01.892-07:002017-08-10T12:08:01.892-07:00Hongera sana Profesa Mbele. Ninavyozidi kufuatilia...Hongera sana Profesa Mbele. Ninavyozidi kufuatilia katika blogu yako hii ndivyo ninazidi kujihisi niko darasani kwa wakati fulani. Ni kweli, Wahenga walisema 'Tenda wema uende zako'. Hawakukosea kwa sababu kukaa kusubiri malipo kwa binadamu unaweza kukaa kusubiri na usipate kitu kabisa. Hili ni somo pia hata kwangu. Mimi kama blogger chipukizi ninaendesha blogu ya Kielimu, na kwa sasa natoa hudumu, lakini sijali sana kuhusu kulipwa mtandaoni au na mtu. I know one day, God will work for me!
Good day Profesa!Emmanuel Kachelehttps://www.blogger.com/profile/05939034064386827696noreply@blogger.com