tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post4435897812169986549..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Shairi Linaposomwa kwa SautiMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-46561136199576535052016-02-12T08:16:33.145-08:002016-02-12T08:16:33.145-08:00Dada Yasinta,
Nimefurahi kuwa umenitembelea hapa n...Dada Yasinta,<br />Nimefurahi kuwa umenitembelea hapa na nashukuru kwa ujumbe wako. Nilijitahidi kutoa hisia ninazokuwa nazo ninapolisoma shairi hili. Linanigusa sana. Imekuwa hivyo tangu wakati wa ujana wangu, nilipokuwa nasoma Mkwawa High School, Iringa, 1971-72. Nakutakia kila la heri.<br />Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-10373437556658378572016-02-08T05:00:12.843-08:002016-02-08T05:00:12.843-08:00Nimefurahiswa na jinsi ulivyosoma shairi hili maan...Nimefurahiswa na jinsi ulivyosoma shairi hili maana mimi ni mdhaifu sana wa kusoma na kusikiliza mtu asomapo mashairi. Ahsante Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com