tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post4606378174235824360..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Msikilize Rais Yahya Jammeh Anavyokubali Ushindi wa MpinzaniMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-91593765931003163472016-12-10T12:00:14.658-08:002016-12-10T12:00:14.658-08:00Ni kweli, inaonekana ametupiga changa la macho sis...Ni kweli, inaonekana ametupiga changa la macho sisi tuliomwamini.<br />Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-2980522922887039292016-12-10T09:05:30.986-08:002016-12-10T09:05:30.986-08:00Huyu jamaa, kama Gadaffi, ni kigeugeu hakuna mfano...Huyu jamaa, kama Gadaffi, ni kigeugeu hakuna mfano. Umesikia alivyogeuka na kudai uchaguzi mpya? Sikutaka kujiridhisha kuwa huyu jamaa angeondoka kirahisi tokana na uovu aliowafanyia wa-Gambia. Hata hivyo, siku zake zinahesabika. Mie sikushabikia namna alivyoidanganya dunia. Kwa wanaomjua, huyu jamaa ni mwendawazimu anayetumia Uislam na ukandamizaji kuendelea kukaa madarakani. Naweza kusema kwa ufupi tu kuwa sasa Afrika itashuhudia Burundi nyingine. Ni bahati mbaya kuwa mataifa kama Senegal yanayozunguka kiinchi kidogo kama hiki hayaingilii na kumfurusha huyu imla uchwara.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com