tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post4703084457887603367..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Kitabu Kingine: "A Goal is a Dream With a Deadline"Mbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-1838203462456243172014-12-26T19:16:33.924-08:002014-12-26T19:16:33.924-08:00Ndugu Mfuko,
Shukrani kwa ujumbe wako. Nafurahi k...Ndugu Mfuko,

Shukrani kwa ujumbe wako. Nafurahi kwamba una hamu ya kitabu hiki. Ndio lengo langu, kwamba nikiona kitu kiachoweza kuwafaa wengine, huwa sifichi bali nasema hadharani.

Kuhusu ombi lako, inabidi tuwasiliane zaidi. Kwa mfano, ningependa kujua uko wapi katika dunia hii. Anwani yangu ni africonexion@gmail.com.

Kila la heri kwa msimu huu wa Krismasi na Mwaka Mpya.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-18033629496359000752014-12-26T17:52:08.761-08:002014-12-26T17:52:08.761-08:00Shikamoo Prof Mbele nimevutiwa na simulizi fupi ju...Shikamoo Prof Mbele nimevutiwa na simulizi fupi juu ya yaliyomo kwenye kitabu hiki cha mwandishi Leo, kama una utamaduni wa kutoa zawadi kitabu ningependekeza kwangu zawadi ya kitabu hiki A Goal is a Dream with a Deadline natanguliza shukrani na pia nakutakia afya njema unapoendelea kurudisha nguvu baada ya maumivu AsanteMfukonoreply@blogger.com