tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post6534742899582441884..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Kitabu Kipya cha Haji Gora HajiMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-19626624113314660082016-08-16T08:59:58.890-07:002016-08-16T08:59:58.890-07:00Kiosso Mwambashi
Shukrani kwa ujumbe wako. Kutoka...Kiosso Mwambashi

Shukrani kwa ujumbe wako. Kutokana na namna ninavyoguswa na tungo za Haji Gora Haji, na ninavyotaka zifahamike ulimwenguni, nimekuwa nikitafsiri baadhi ya mashairi yake kwa ki-Ingereza. Hadi sasa, nimeshatafsiri "Kimbunga," "Nyang'au," na "Kibwangai."

Nimechapisha tafsiri hizi katika blogu zangu, na ninapangia kuendelea kutafsiri na kuchapisha katika majarida ya kimataifa. Kadiri siku zinavyopita, tungo za Haji Gora Haji zinaendelea kufahamika ulimwenguni. Nimeona tafsiri za ki-Ingereza, na hata tafsiri ya ki-Reno katika jarida moja la Angola.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-10631956530371387822016-07-17T03:55:56.833-07:002016-07-17T03:55:56.833-07:00haji Gora Haji nifundi sana katika taaluma ya sana...haji Gora Haji nifundi sana katika taaluma ya sanaa ya lugha.....kiukweli ninajifunza mengi kupitia kazi zake......ushairi wa KIMBUNGA umenikosha sana na kunisisimua na mshukuru sana kwa mchangowake katika tathnia hii.
Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08619775164053775494noreply@blogger.com