tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post7639906396045700597..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Mitaani Mbamba BayMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-61178311918679457832011-08-07T00:35:45.118-07:002011-08-07T00:35:45.118-07:00Salam Prof. Aksante sana kwa kutujulisha habari za...Salam Prof. Aksante sana kwa kutujulisha habari za Mbamba Bay. Wengine mpaka leo hii sehemu tunaikumbuka kwa kuisoma kwenye jiographia ya shule ya msingi. Aksante pia kwa moyo wako wa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake. Naendeleza ombi langu kukuona hapa Dar kabla hatajageuza wote Marekani.Emmanuel Sullenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-9610911423934506112011-08-06T04:53:27.103-07:002011-08-06T04:53:27.103-07:00tz biashara, shukrani kwa mchango wako murua. Ni c...tz biashara, shukrani kwa mchango wako murua. Ni changamoto safi, nami sina la kuongezea bali kutafakari.<br /><br />Ni kweli, nilitua Mbamba Bay nikafaidi vekesheni vilivyo. Nawashauri wadau kutembelea sehemu kama hizo.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-18583117863791904112011-08-06T03:57:58.852-07:002011-08-06T03:57:58.852-07:00Profesa naona upo vekesheni unakula raha.Nilikuwa ...Profesa naona upo vekesheni unakula raha.Nilikuwa nawazo moja kuhusu watoto kutembea peke yao na uhuru wao.Mimi pia nipo uingereza na hali ni kama unavyoisema ya kutokuwa huru.Lakini kwa jinsi nionavyo mimi kwa sasa binaadamu tumebadilika sana na sidhani kama kuna uhuru uliokamilika kwa watoto wetu.Kwa kweli waharibifu wamekuwa wengi mno bila hata kujali utu.Nauhakika hawa watoto wenyekuachiwa huru basi wapo wanaokutana na mazingira mabaya lakini kwa kwetu sio rahisi mtoto kusema ukweli kwa namna moja au nyingine inawezekana kupewa pesa kwa kutokusema jambo au kwa vitisho.Nadhani ni wakati sasa wazazi kuwa makini kwa hilo japokuwa maisha ni magumu.Hapa juzi nilisoma habari moja ya kutisha na kusikitisha.Mtoto wa miaka 7 anauza vyuma chakavu aligongwa na gari na ikisha yule aliyemgonga alishuka kwa haraka na kumchukua mtoto yule na watu wakidhani akifanya utu wa kumuwahisha Hospitali.Lakini alikutwa ametupwa akiwa maiti.Sasa hebu niambie huyu mtu hata kama mtoto yule alifia ktk gari alitakiwa pia ampeleke Hospitali?Hakuna utu tena Profesa lazima watoto wachungwe kwanza kunatisha maana kuna baa nyingi zinafunguliwa mitaani na ni hatari kwa watoto.Ni bora watoto wapewe vitabu wajisomee nyumbani na wacheze nje nyumbani kwao kuliko kuwaachia wanatembea mitaani.tz biasharahttps://www.blogger.com/profile/05504591209679372535noreply@blogger.com