tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post7723680731639426559..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: "Papa's Shadow" Yapongezwa na Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa MataifaMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-63589868517697172422015-09-25T23:37:35.936-07:002015-09-25T23:37:35.936-07:00Ndugu Khalfan Abdallah Salim
Shukrani kwa ulizo l...Ndugu Khalfan Abdallah Salim<br /><br />Shukrani kwa ulizo lako. Filamu itakuwa tayari kusambazwa baada ya kukamilika kwa taratibu za kisheria, hasa hatimiliki za vipengele mbali mbali. Kwa sasa kuna mchango wa fedha unafanyika ili hatimaye gharama zote zilipwe. Insha Allah, mwanzoni mwa mwaka ujao kila kitu kitakuwa kimekamilika, nami nitaweka taarifa katika blogu hii. Mimi nimeshaiangalia filamu yote. Nimeridhika nayo kabisa.<br />Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-56544996742577669892015-09-25T21:53:35.088-07:002015-09-25T21:53:35.088-07:00Je filamu hii inapatikana wapi Dar au Nairobi? Taf...Je filamu hii inapatikana wapi Dar au Nairobi? Tafadhali tujulishe.Khalfan Abdallah Salimhttps://www.blogger.com/profile/10862461004420048700noreply@blogger.com