tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post8000948548512680619..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Tamthilia ya Shakespeare Imenijia Katika NdotoMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-75000616452458358212014-06-21T11:22:16.691-07:002014-06-21T11:22:16.691-07:00Asante kwa ujumbe wako. Nikiongezea hapo hapo, ni ...Asante kwa ujumbe wako. Nikiongezea hapo hapo, ni kwamba wataalam mbali mbali wameongelea suala hili la ndoto. Mfano ni Sigmund Freud, mmoja wa waasisi wa taaluma ya "psychoanalyisi".

Kwa mujibu wa wataalam ni kuwa ubongo haulali, hata tuanpokuwa fofofo usingizini, bali huwa katika kuchambua matukio yaliyojiri na kuyapanga kwa namna ambayo akina Freud walitufundisha namna za kuyaelewa.

Watu wa kale walizichukulia ndoto kama utabiri wa mambo yajayo. Hawakuzichukulia kijuujuu au kuzipuuza tunavyofanya leo.

Ninapofundisha somo la "folklore" ninahusisha sana mada hii ya taaluma ya ndoto.

Narudia tena, asante, kwa kutupeleka katika mkondo huu wa fikra.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-52033925809692732912014-06-21T08:48:02.776-07:002014-06-21T08:48:02.776-07:00Wanasema ndoto ni tokeo la ubongo kujipanga na kur...Wanasema ndoto ni tokeo la ubongo kujipanga na kurekebisha seli za ubongo.
Lakini huwa nashindwa kuelewa ni kwanini ndoto nyingine huwa zinakuja na kama utabiri fulani?Anonymousnoreply@blogger.com