tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post9124431147467725350..comments2024-02-19T01:07:06.277-08:00Comments on Hapa Kwetu: Nililazwa Tena HospitaliniMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-54513081163575892782014-11-15T10:23:53.973-08:002014-11-15T10:23:53.973-08:00Shukrani, anonymous uliyeandika tarehe 13 Novemba,...Shukrani, anonymous uliyeandika tarehe 13 Novemba, kwa ujumbe wako. Naendelea kupona, na nafurahia kuwemo tena darasani, ingawa nafundisha kozi moja tu kwa sasa. Mungu akipenda, hatimaye nitapona kabisa. Nakutakia kila la heri.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-18592308613406594332014-11-13T04:43:35.472-08:002014-11-13T04:43:35.472-08:00Pole sana Joseph Mbele, nimekuwa napita hapa mara ...Pole sana Joseph Mbele, nimekuwa napita hapa mara kwa mara nakuta kimya nikawa nahofu, pole sana Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-34974897845868627282014-11-09T21:22:50.275-08:002014-11-09T21:22:50.275-08:00Shukrani tele, ndugu Anonymous.Shukrani tele, ndugu Anonymous.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-58704162012225540352014-11-09T21:17:51.949-08:002014-11-09T21:17:51.949-08:00Asante sana, ndugu yangu Mhango, kwa maneno yako y...Asante sana, ndugu yangu Mhango, kwa maneno yako ya busara na yenye kutia moyo. Sina la kuongeza bali kukutakia kila la heri.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-55930181377473759492014-11-09T21:08:34.718-08:002014-11-09T21:08:34.718-08:00Pole sana Professor Mbele, Mungu akurejeshee afya ...Pole sana Professor Mbele, Mungu akurejeshee afya na nguvu mapemaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3497774938071508976.post-63800975244176050122014-11-09T19:58:39.649-08:002014-11-09T19:58:39.649-08:00Kaka Mbele pole sana kwa kulazwa na hongera kwa ku...Kaka Mbele pole sana kwa kulazwa na hongera kwa kutoka hospitalini. Umefanya la maana kutujulisha nduguzo tofauti na watawala wetu wanaoficha hata kuugua utadhani hakuna binadamu asiyeugua. <br />Nilikuwa nikipita kibarazani bila kukuta kitu nikadhani kwa vile ulikuwa nje ya darasa kwa muda mrefu ulikuwa umejifungia darasani angalau kuwarejesha vijana ulipopaswa kuwafikisha kumbe ulilazwa tena! Mungu ni mkubwa atazidi kukupa nafuu na madaktari atawapa nuru waone jinsi ya kukuganga ipasavyo.<br />Nakutakia upone haraka na kuwa na siha njema kama siku zote. Aaaaaamini.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com