Tuesday, November 14, 2023

Good morning, Africa | “Notes on Achebe’s ‘Things Fall Apart.’” By Profe...

4 comments:

Nicaragua said...

Thanks for being a positive influence in the digital space, making it a better place.

Mbele said...

Thank you very much, Nicaragua.

Adolf Luhanga said...

Asante sana na hongera nyingi Profesa kwa kazi yako hii njema. Mchana huu nimebahatika kuingia kwenye blogu yako nilipoona majadiliano ya kitabu cha "Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania..."
Ni kazi nzuri yene kueleimisha.

Nitajitahidi kukufuatilia ili nami nipate maarifa zaidi.

Kila la heri Profesa.

Mbele said...

Asante kwa ujumbe, Adolf Luhanga. Nakutakia kila la heri.

Tangazo la Maongezi Yangu Books on Central, Faribault

Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...