Saturday, October 3, 2020

Kitabu Chawasili Nairobi

Nakala za kitabu changu, Africans and Americans: Embracing Cultural Differences, zimewasili Nairobi. Simu namba 722 250 644.

2 comments:

Unknown said...

Asante kwa kututhamini, kwa Tanzania tunavipata wapi, hususani watu kwa kusini kama Mtwara?

Asante tena Prof. Joseph Mbele, Mungu akubariki.

Mbele said...

Asante kwa ujumbe. Vitabu hivi vinapatikana kutoka duka la vitabu la Soma Book Cafe lilloko Dar es Salaam. Wanakuletea popote. Simu zao ni 0673014071 na 0743279653.