Wahusika wa Programu ya Utalii Mto wa Mbu walishiriki tamasha hilo. Leo wameniletea picha za kumbukumbu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tangazo la Maongezi Yangu Books on Central, Faribault
Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...
-
Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...
-
Ukizunguka mitaani Dar es Salaam, utakuta matangazo mengi ya waganga wa kienyeji. Waganga hao wanatoka sehemu mbali mbali, kama vile Sumbaw...
-
Leo napenda kukitambulisha kwako mdau kitabu muhimu cha ki-Swahili, Tenzi Tatu za Kale . Nilinunua nakala yangu miaka kadhaa iliyopita katik...
4 comments:
Safi sana nimefurahi kuona kazi inasonga mbele.
Dada Yasinta, shukrani kwa ujumbe wako. Inaleta faraja kuungana na watu walioko nyumbani na kufanya mambo pamoja. Hao ndugu wa Mto wa Mbu tumeanza mbali. Tulianzia na kufahamiana, kuelewana falsafa na malengo, na sasa tunajisogeza katika utekelezaji, huku tukiendelea kujifunza.
Hi Josep
Nafurahi sana nikisia habari ya kazi yako pamoja na matunda yake, Tafadhali tuwasiliane mara kwa mara na kuangalia ni namna gani tunaweza kuwawezesha wenzetu wanaonesha juhudi za kusonga mbele.
Ndugu mica172024, shukrani kwa ujumbe wako. Napenda watu wa aina yako, ambao wanataka ushirikiano. Uwezo tunao, na penye nia pana njia. Tuwasiliane.
Post a Comment