Wednesday, November 26, 2008

Mahojiano na Profesa Joseph Mbele

Niliwahi kuhojiwa na ndugu Deus Gunza, katika Radio Butiama, kuhusiana na kitabu changu kinachohusu tofauti za utamaduni wa Mmarekani na ule wa Mwafrika. Mahojiano yanasikika hapa:
http://butiama.podomatic.com/entry/et/2006-09-02T06_26_37-07_00

2 comments:

Bennet said...

Nimesikiliza mahojiano, inaonekana kuna hazina iliyojificha na ukitaka kuivumbua ni kwa kusoma kitabu hiki.

Kweli ni ngumu kuzikuanisha tamaduni mbili na njia pekee ya kufahamiana zaidi ni kutambua tofauti zenu kuu kiutamaduni
Nashukuru kwamba naendelea kukutambua zaidi na wakati huo huo ninafaidika zaidi

Mbele said...

Shukrani kwa ujumbe wako. Vitabu vyangu sasa vinapatikana Dar, simu namba 754 888 647 au 717 413 073. Nilifanya mpango huo kwa vile ni Watanzania wachache wenye namna ya kuviagiza hapa, ambapo watu kutoka sehemu mbali mbali za dunia wanaviagiza.