Friday, October 15, 2021
Mdau Kajipatia Kitabu
Nilipomaliza hotuba yangu, wakati wa masuali na majibu, dada huyu alijitokeza akasema kuwa yeye ni mfanyakazi katika sekta ya elimu na kwamba kwamba alivutiwa na mhadhara wangu akaongeza kuwa mawazo na maudhui yangu yanahitajika mashuleni.
Tulikubaliana kushirikiana kushughulikia changamotto zilizopo mashuleni. Baadaye nilimpelekea hiki kitabu changu, Africans and Americans: Embracing Cultural Differences, kama hatua ya kwanza katika safari yetu hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tangazo la Maongezi Yangu Books on Central, Faribault
Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...
-
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwangu, ambayo ni tarehe 17 Agosti, 1951. Familia yangu, ndugu, na marafiki wamejumuika nami kushereh...
-
Leo napenda kukitambulisha kwako mdau kitabu muhimu cha ki-Swahili, Tenzi Tatu za Kale . Nilinunua nakala yangu miaka kadhaa iliyopita katik...
-
Kutafsiri kazi ya fasihi ni kazi ngumu ya kuchemsha bongo. Inahitaji ufahamu wa hali ya juu wa lugha husika, na pia hisia makini za kifasih...
No comments:
Post a Comment