
Jana mchana nilichukua dala dala nikaenda zangu Kunduchi Beach Hotel. Kuanzia maeneo ya Lugalo na kwenda mbele, kuna shughuli kubwa ya ujenzi wa barabara.
Napenda kupunga upepo sehemu za ufukweni. Napenda pia kuandika taarifa za sehemu hizo, kama nilivyofanya kuhusu
Matema Beach na
Mbamba Bay.
2 comments:
Karibu sana Prof na pole na maswahiba ya kuibiwa.
Asante sana Mkuu. Nilipangia safari hii nikutafute kwa kila hali ili nikupe kile kitabu changu. Nitafanya hivyo, Insh'Allah.
Post a Comment