Friday, April 5, 2013

Lissu: Usalama wa Taifa Wanatengeneza Ushahidi

1 comment:

NN Mhango said...

Kaka Mbele,
Naamini hujambo. Sie wazima wa afya. Vipi ulipata kitabu changu cha SAA YA UKOMBOZI? Nini mawazo yako juu ya kitabu hiki? Maana nimeona umejaribu kuelezea vitabu vingine vingi bila kukigusia. Vipi una habari zozote za Mwalimu Masangu Matondo wa Nzulilima maana uga wake umejaa nyasi. Kulikoni?
Kila la heri,
Nkwazi Mhango
Kanada