Monday, January 5, 2009

Kwa Kina na Prof. Joseph Mbele

Machi 28, 2008, yalitolewa mahojiano baina yangu na Bongo Celebrity. Kwa vile bado ninayo mawazo niliyotoa wakati ule, naona ni vema niyalete hapa pia, kama changamoto. Soma hapa

1 comment:

Bwaya said...

Nimefurahi sana kukusoma Profesa. Ni mihimu pia nikiwahi kusema mapema kabisa kwamba tumejaaliwa kuwa na wasomi wa maana kama wewe. Lakini pamoja na neema hiyo, bado mchango watu kama ninyi haujaweza kutambuliwa ipasavyo. Nchi hii imekuwa ikiongozwa zaidi na siasa kuliko utaalam.


Heshima kwako nikiamini kuwa kupitia wewe tunaweza kuona tofauti.