
Suala la huduma bora kwa wateja ni muhimu katika biashara au sekta yoyote inayotoa huduma. Mchora katuni maarufu
Nathan Mpangala amechora katuni nzuri, ambayo imenikumbusha makala niliyowahi kuandika kuhusu suala hilo, "Ubora wa Huduma, Msingi wa Mafanikio."
Bofya hapa.
1 comment:
simu zimekuwa kama jinamizi siku hizi. makampuni ya simu yanashindana kwa kupunguza bei ili wateja wapate muda wa kuongea na wapendwa wao kwa muda wa kutosha. badala ya faida imekuwa kero maofisini. hatuwajali wateja wanapokuja maofisini kwetu bali tunawajali wapendwa wetu bila kukumbuka kuwa bila kuwa na hizo kazi hao wapendwa wetu wasingetuthamini hivi. natamani enzi za simu za kukoroga zirejee.
Post a Comment