Jana tangu asubuhi hadi leo mchana nilikuwa Chicago, katika mkutano. JK alifanya mahojiano yake na wanahabari jana hiyo hiyo. Leo nimeona yamewekwa katika blogu maarufu ya wavuti. Nami nimeyaweka hapa kwangu, nikitanguliza shukrani kwa Da Subi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tangazo la Maongezi Yangu Books on Central, Faribault
Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...
-
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwangu, ambayo ni tarehe 17 Agosti, 1951. Familia yangu, ndugu, na marafiki wamejumuika nami kushereh...
-
Leo napenda kukitambulisha kwako mdau kitabu muhimu cha ki-Swahili, Tenzi Tatu za Kale . Nilinunua nakala yangu miaka kadhaa iliyopita katik...
-
Kutafsiri kazi ya fasihi ni kazi ngumu ya kuchemsha bongo. Inahitaji ufahamu wa hali ya juu wa lugha husika, na pia hisia makini za kifasih...
3 comments:
Nimesikiliza sehemu ya kwanza, nikamsikia JK anavyojaribu kutuhakikishia kuwa safari hii mfumo unaotumika katika upigaji kura ni mzuri na wa wazi kiasi kwamba tusiwe na wasiwasi kuhusu wizi wa kura.
Nashangaa tueleweje tunaposikia taarifa kama hii hapa.
Mbele jibu liko kwenye utani ambao si Kikwete wala CCM wamewahi kukanusha kuwa ni msanii. Wengi wanatumia neno msanii kumaanisha muongo. Ni mara ngapi umemsikia akisema hataki watu wamwage damu wakati CCM waliishaimwaga sana tu?
Ansbert Ngurumo naye amechambua mahojiano haya. Soma hapa.
Post a Comment