Tarehe 21 Julai, wakati natoka Peramiho kurudi Songea, dala dala ilisimama kidogo kwenye kitongoji cha Lizaboni, ambacho ni sehemu ya Songea.Hapo niliona mchezo wa "pool" unaendelea, nikapiga picha hii nikiwa ndani ya dala dala.
Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...
1 comment:
Huo mchezo lazima utakuwa mpya maana mwaka jana haukuwepo hapo..Ahsante kutufahamisha ...karibuni nitakuwa huko..Songea/Rhuhuwiko:-)
Post a Comment