Wednesday, April 18, 2012

Nimerejea Marekani: Chakula Hakipendezi

Baada ya kukaa Bongo wiki sita, nimerejea Marekani usiku wa kuamkia jana. Niilala nikaamka, na siku yote ya jana nimekosa raha. Nilijaribu kula kuku, nikaishiwa hamu. Kuku wa hapa hawana ladha kama wale wa kienyeji wa Bongo. Utadhani unatafuna vipande vya plastiki.

Nimejaribu kula ndizi. Ni hivyo hivyo. Hazifui dafu mbele ya ndizi nilizokula Morogoro, Sinza, na Ubungo. Nikajaribu chungwa. Ni vile vile. Nataenda dukani, na nitayaona maembe na mananasi. Najua kuwa hayafui dafu mbele ya yale ya Bongo. Sitayafurahia kama ninavyoyafurahia yale ya Bongo.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Pole sana lakini itakubidi usahau kunyumba na uridhika na hali...

Mbele said...

Nimeiangalia pia mikate, nikaishiwa nguvu. Utadhani sponji. Naikumbuka mikate ya Dar, ilivyo mizuri.

batamwa said...

hapo mheshimiwa profesa ndipo wahenga wetu walisema msafiri kafiri hata nanihi.......unawezakula

Mbele said...

Ndugu Batamwa, mambo ndio hayo. Miaka michache iliyopita, nilijaribu kuelezea hali ya vyakula vya ughaibuni katika makala hii.

Tiba asili said...

Kwa wenye shida mbalimbali kama Kusafisha nyota, kumvuta mpenzi aliye mbali, kumtuliza mpenzi wako, n.k nipigie 0742162843


Pia katika katika kipindi hiki cha kampeni kama unahitaji mvuto kuweza kupata uongozi Karibu Pete zipo pia dawa zipo nipigie Simu husitume SMS kuhepuka matapeli.


PIA KWA UHITAJI WAMALI,UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......



KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA



kwa maelezo kamili piga namba +255742162843



(KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......



NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO

(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)

MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.



NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.



(kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO

1. uwe una umri wa miaka 18+

2. uwe tayari kupokea masharti yote

3.uwe na uwezo wa kutunza siri

4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote

KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU

Tangazo la Maongezi Yangu Books on Central, Faribault

Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...