
Juzi nilishinda Morogoro. Nilitaka kuyafaidi tena mazingira na hali ya hewa ya mji huu marufu, ambao niliutembelea pia mwaka juzi, nikaandika habari zake
hapa
Ukisafiri kwa basi kwenda Morogoro, hakuna shaka kuwa utapita mahali paitwapo Msamvu. Hapa ni kituo kikuu cha mabasi, na pia sehemu ya biashara za aina aina.
No comments:
Post a Comment