Thursday, February 14, 2013

Mnadani Karatu, 7 Januari 2013

Mwezi Januari tarehe 7, mwaka huu, nilitembelea mnada mjini Karatu. Mnada huu hufanyika kila mwezi, tarehe 7, kama nilivyoandika hapa.

Hao vijana wanaoonekana pichani ni wachuuzi wa vitu mbali mbali mitaani. Waliniomba niwapige picha nikawatangaze, ili wapate wateja kutoka Marekani.

No comments: