Miaka michache iliyopita, nilikuwa Mto wa Mbu na wanafunzi katika kozi kuhusu mwandishi Hemingway. Katika kupitapita mitaani, tulitokezea kwenye kiwanja cha mpira. Kabumbu ikuwa inaendelea kama kawaida. Lakini nilivutiwa kumwona mbuzi mweupe akivinjari hadi ndani ya uwanja.
No comments:
Post a Comment