Nimeibukia YouTube na Tangazo la Kitabu
Leo, siku ya kwanza ya Mwaka Mpya, nimetua YouTube na kuweka tangazo la kitabu changu kimojawapo, Africans and Americans: Embracing Cultural Differences . Binti yangu Zawadi ndiye aliyerekodi ujumbe wangu, akaiweka video YouTube. Nimejfunza kutoka kwake.