Pesa za Majini

Ukizunguka mitaani Dar es Salaam, utakuta matangazo mengi ya waganga wa kienyeji. Waganga hao wanatoka sehemu mbali mbali,  kama vile Sumbawanga, Nigeria, na Malawi.

Kwa mujibu wa matangazo hayo waganga hao hutibu maradhi mbali mbali na hutatua matatizo mengine, kama vile nguvu za kiume, kufaulu masomo na kumvuta aliye mbali.  Hayo mengine mimi sina utaalam nayo, ila nimevutiwa na hili wazo la kufaulu masomo kwa kutumia dawa. Mimi kama mwalimu, naona ni jambo la ajabu kabisa.

Mwaka huu nimeona pia matangazo ya waganga yanayotaja pesa za majini. Yaani ukitaka hizo pesa, unaweza kuzipata. Makubwa haya.


Comments

Anonymous said…
Prof wajinga ndo waliwao.hakuna mtu kufaulu pasi na kujitahidi kubukua. Hizi itikadi ndo zinazoturudisha nyuma sisi WaTanzania yaani tumekuwa wavivu hata wa kukaa na kufiri.Na kwa kweli uvivu ukushakutawala hata kwenye kufikiri basi jua kuna hatari kubwa ya kuja kutawaliwa kifikra na mahayawani kuliko ww mwenyewe.
Rachel Siwa said…
Dunia kweli kizungumkuti!!Kufaulu Masomo,yeye mbona hakufaulu, hakupenda? Kila la kheri.
Anonymous said…
hapo wadau nikweli lakini mimi kama mtaalamu wa mambofulani hivi utakuta ulikuwa na mwanao anajitahidi ktk masomo ghafla akawa amebadirika hataki kusoma,anakuwa mvivu,mwingine ghafla anakuwa kikojozi tena katika umri mkubwa basi hapo ujue kuna kitu kinaitwa jinamizi hilijinamizi kama hukulijua basi itakuwa tabusana maana mpakamwingine linamfanya awe mvuta bangi mlevi anaacha yale yaliyo ya muhimu anashika mambo ya hovyo hivyo basi hapo ndio unatakiwa ufanye busara ya hali ya juu sana lakini sio kwamba kunadawa ya kukufanya ufaulu mitihani bila kusoma
Mbele said…
Tanzania imegubikwa na ujinga. Kuhusu mambo ya elimu na vitabu, utawakuta watu wanatafuta tu vitabu vilivyomo katika mitaala. Huu ni ujinga, kwani kinachotakiwa ni kusoma vitabu vingi, sio tu vilivyomo katika mitaala, bali pia ambavyo havimo. Kwa namna hii mtu unapanua fikra na upeo.

Wazazi nao ni balaa tupu. Sijui ni wangapi wana vitabu majumbani. Hapa namaanisha vitabu vya aina mbali mbali, sio tu nakala ya Quran au Biblia. Namaanisha vitabu vya historia, siasa, falsafa, fasihi, sayansi (hata kama ni yale masimulizi tu kuhusu wanasayansi).

Sio ajabu kuwa humo majumbani kuna mizinga ya konyagi na kreti za bia, lakini hakuna vitabu. Watoto hawajengeki katika utamaduni wa kusoma. Wazazi hawaendelezi utamaduni wa kusoma.

Katika mazingira haya, si ajabu kuwaona waganga wakija na mizizi yao, wakidai kuwa inamwezesha kijana kufaulu masomo. Mimi ni mwalimu. Nawapa ushauri wajaribu kuja na mizizi yao kwenye darasa langu, waone kama wataambulia chochoe.
Anonymous said…
Naitwa Dr. LUSAJO Kama unataka utajiri kwa muda mfupi ukiwa na nia masharti ni ya kawaida kutokana na uwezo niliopewa na Mwenyezi mungu maisha yako yanabadilika ndani ya muda mfupi kikubwa ni wewe kufuata masharti kwa umakini mzuri. wasiliana nami kwa namba hizi +255 754082579 TAFADHARI PIGA SIMU HUSITUME SMS
Tiba asili said…
This comment has been removed by the author.
Unknown said…
Utajiri wa nguvu za ujihni na ndagu JE UNAMATATIZO, (KWANINI USUMBUKE) NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU), NDOA, MIKOSI, MABALAA, JINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI. NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

(kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
1. uwe una umri wa miaka 18+
2. uwe tayari kupokea masharti yote
3.uwe na uwezo wa kutunza siri
4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote .

Tiba asili said…
This comment has been removed by the author.
Tiba asili said…
Kwa wenye shida mbalimbali kama Kusafisha nyota, kumvuta mpenzi aliye mbali, kumtuliza mpenzi wako, n.k nipigie 0742162843


Pia katika katika kipindi hiki cha kampeni kama unahitaji mvuto kuweza kupata uongozi Karibu Pete zipo pia dawa zipo nipigie Simu husitume SMS kuhepuka matapeli.


PIA KWA UHITAJI WAMALI,UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWAkwa maelezo kamili piga namba +255742162843(KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO

(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)

MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.(kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO

1. uwe una umri wa miaka 18+

2. uwe tayari kupokea masharti yote

3.uwe na uwezo wa kutunza siri

4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote

KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU

Popular posts from this blog

Kumbukumbu ya Kuzaliwa

Tenzi Tatu za Kale