Saturday, December 17, 2022

Cross Cultural Conversation With an American Student

Sophia ni mwanafunzi wangu hapa katika Chuo cha St. Olaf. Ni mfuatiliaji wa maandishi na maongezi yangu YouTube kuhusu tofauti za tamaduni. Siku chache zilizopita, aliniambia kuwa amepata kitabu changu, Chickens in the Bus: More Thoughts on Cultural Differences. Aliniambia kuwa angependa tufanye mahojiano. Leo, tarehe 17 Desemba, tumekutana ofisini mwangu tukaongelea mengi.

1 comment:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

What an interview. I have enjoyed this piece so to speak, especially its originality. I love the way you honestly struggle to start the program. A few people dare to show their audience what goes on behind the curtain. Congrats Bro Mbele and keep it up.

Cross Cultural Conversation With an American Student

Sophia ni mwanafunzi wangu hapa katika Chuo cha St. Olaf . Ni mfuatiliaji wa maandishi na maongezi yangu YouTube kuhusu tofauti za tamaduni....