Mimi kama raia wa Ubungo nimevutiwa na picha hii, inayowaonyesha wananchi wakiwa wamembeba mbunge wetu, Mheshimiwa John Mnyika baada ya kushinda kesi ya uchaguzi iliyokuwa inamkabili. Tuko pamoja.(Chanzo: Matukio-Michuzi)
Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...
No comments:
Post a Comment