CUF Yaongelea Njama za CCM

Comments

Unknown said…
Ama huku UK kuna mtu namjua amekwenda zanzibar kwa matenbezi na alikuwa hayuko zanzibar kwa zaidi ya miaka kumi na moja na alipofika tu kafanya mipango na kapewa kitambulisho kwani yeye ni mmoja wa watu ambae jamaa zake wanafanya kazi ikulu na kwa Bamkwe.

Ama dhuluma kubwa inapita.
Mbele said…
Wadau, samahani, hii video naona iliondolewa huko mtandaoni ambako ilikuwepo. Sijui ni kwa nini na kwa namna gani.

Popular posts from this blog

Kumbukumbu ya Kuzaliwa

Tenzi Tatu za Kale

Pesa za Majini