Friday, September 7, 2012

Kanisa Kuu la Peramiho

Hii ni picha ya kanisa kuu la Peramiho, ambayo nilipiga tarehe 21 Julai. Safari yangu ya Peramiho niliielezea hapa.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nimesali kanisa hili mara nyingi sana ni kwali ni kanisa kuu na kongwe lina historia yake.

Tangazo la Maongezi Yangu Books on Central, Faribault

Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...