Friday, February 8, 2013

Baada ya Arusha, Niko Dar es Salaam

Niliondoka Arusha tarehe 3 Februari, nikaja Dar. Hapa kushoto naonekana nimevaa vazi la Arusha. Kilichobaki hapo ni magwanda ya CHADEMA. Natania, kwani mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Isipokuwa, niliwahi kununua suti moja kule Burundi mwaka 1980 ambayo ningeivaa leo, watu wangesema mimi ni CHADEMA. Kazi kweli.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nimependa huo mgololi..haafu hapo ungefunga lubega ungetoka chicha...

Tangazo la Maongezi Yangu Books on Central, Faribault

Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...