Monday, February 18, 2013

Bia na Mafanikio ya m-Tanzania

Siku moja, mwezi Januari huu, nilikuwa katika baa fulani Mto wa Mbu. Sijui ni kwa nini, ila nilipata dukuduku ya kuona ujumbe kwenye chupa ya bia. Nilisoma, nikaona ni ujumbe wa kusisimua:


Bia pekee inayowaleta Watanzania pamoja na kuwaburudisha, ikiwapa ari na hamasa ya kufika kilele cha mafanikio.

No comments:

Tangazo la Maongezi Yangu Books on Central, Faribault

Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...