Monday, February 20, 2012

Kabumbu Mto wa Mbu

Miaka michache iliyopita, nilikuwa Mto wa Mbu na wanafunzi katika kozi kuhusu mwandishi Hemingway. Katika kupitapita mitaani, tulitokezea kwenye kiwanja cha mpira. Kabumbu ikuwa inaendelea kama kawaida. Lakini nilivutiwa kumwona mbuzi mweupe akivinjari hadi ndani ya uwanja.







Kabumbu iliendelea bila wasi wasi. Najua kuwa ingekuwa mechi kubwa mjini kama Dar es Salaam, halafu mbuzi atinge uwanjani namna hii, watu wangesema mengi.

No comments:

Tangazo la Maongezi Yangu Books on Central, Faribault

Kwa miaka mingi, nimeongea na hadhira mbali mbali hasa kuhusu tofauti za tamaduni. Matangazo huandaliwa na kusambazwaa kabla ya mikutano. Ka...